BONGE LA HARUSI: MWANAHABARI WA RADIO UHURU FM ,PIUS NTIGA AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BI. NEEMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 12 November 2013

demo-image

BONGE LA HARUSI: MWANAHABARI WA RADIO UHURU FM ,PIUS NTIGA AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BI. NEEMA

DSC_0260
DSC_0253




DSC_0261


DSC_0281




DSC_0346


DSC_0025


DSC_0030-2


DSC_0046-2


DSC_0060


DSC_0058


DSC_0054


DSC_0068


DSC_0067


DSC_0062


DSC_0069


DSC_0076-2


DSC_0078-2


DSC_0090-2


DSC_0088


DSC_0086-2


DSC_0103


DSC_0122


DSC_0110


DSC_0096


DSC_0095


DSC_0109


DSC_0123


DSC_0125


DSC_0127


DSC_0137-2




DSC_0132


DSC_0139


DSC_0145-5


DSC_0150-2


DSC_0164


DSC_0162


DSC_0153-2


DSC_0165-2


DSC_0186


DSC_0189
1


Ilikua ni furaha sana kwa maharusi wale, Pius Ntiga na rafiki yake Bi Neema, mtoto wa kichagga. Shamrashamra zilianzia kuleee nyumbani kwa kaka yake na Bw Harusi, ambaye pia amekua ni mlezi wake tangu Enzi za sekondari Dr na Mrs Peter Mgosha. Baadaye wasukuma wale wakahamia katika kanisa la RC pale Msimbazi Centre. Hapo Mtanashati Pius akasahau mambo yake kutoka kule Uhuru FM na kumuhakikishia Neema wake kuwa wataishi milele mpaka kifo kitakapowatenganisha.


Utamu haukuishia hapo, uhondo halisi zikahamia paleeee Landmark Hotels chini ya Combination ya hatari ya McNdimbo na Dj Ndende kutoka Respect Djs (shereheyetu.blogspot.com). Hapo haikua kazi ngumu kuweka vichwa zaidi ya mia tatu katika usalama wa burudani kutoka mwanzo hadi mwisho. 

Huku akiwapo Paschal Mwaja na kuongoza waleee watanashati kutoka The 15 Family, marafiki na majirani wa ukweli wa Dr & Mrs Peter Mgosha, Mlezi wa Bwana Harusi; Machilika, Simba, Nyambere, Karokola, Deo, Hamidu, Saburi, Tamara, Pendo, Faith, Mama Kamila na wengineo....na huku yupo Mamaaa Angel na Crew nzima ya Uhuru FM...moto uliwaka pale. 
 Full maburudaaani ng'wanawane...zikaanza ndombolo ya solo, sebene, gospoooz, kwaito na taarab za ukweli...wataka nini tena banaaaaah nahttp://www.ndimbomc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *