| Simba Jike na Dume wakifurahiana...!!! |
| Pundamilia na rangi zao za kupendeza..!!! |
| Usingi ni popote jamani... |
| Tembo ndo mnyama mwenye mwili mkubwa kuliko wote katika hifadhi zetu... |
| UJANGILI NI HATARI kwa afya ya mnyama Tembo, hapa akijitafutia Maji ya kunywa. |
| Simba wanajipa raha mbugani.. |
| Nyumbu wakifurahia mazingira yao.. |
| Kila kitu kina haki ya kula .. |
| Kifaru akikatiza mbugani... |
| Chui wamepumzika kidogo... |
No comments:
Post a Comment