AFRIKA MASHARIKI: DKT. JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI KAMPALA KUHUDHURIA MKUTANO WA EAC - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Nov 2013

AFRIKA MASHARIKI: DKT. JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI KAMPALA KUHUDHURIA MKUTANO WA EAC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(Photos by Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad