UTALII WA NDANI : PICHAZZZZ NA WATOTO WAZURI NDANI YA MBUNGA ZA WANYAMA ZA ARUSHA (MOMELA) - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Nov 2013

UTALII WA NDANI : PICHAZZZZ NA WATOTO WAZURI NDANI YA MBUNGA ZA WANYAMA ZA ARUSHA (MOMELA)



Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog , katika mbuga ya wanyama ya Arusha(Arusha national Parks) au watu wengi wanaifahamu kama Momela,nilikwenda kutembelea na watoto wa kike kibao. Tudumishe utalii wa Ndani ila kumbuka kwa mtu mzima au kwa mtoto mwenye umri wa miaka 12 wote kiingilio ni shilingi elfu kumi (10,000/=Tshs)



SOMA MASHARTI YA HIFADHI HAPA, usije tozwa pesa zako.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad