Gazeti la MWANANCHI KESHO LINAREJEA KWA KISHINDO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 10 October 2013

Gazeti la MWANANCHI KESHO LINAREJEA KWA KISHINDO

Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications limited(MCL)Tido Mhando akizungumza na waandishi wa habari jijini kuhusu kuanza uchapishaji leo wa gazeti la Mwananchi lililokuwa limefungiwa kwa wiki mbili.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi,Denis Msacky na Meneja Masoko wa MCL,Bernard Mukasa(kushoto).Picha na Fidelis Felix.  
Kuanzia Kesho ijumaa tarehe 11 Oktoba 2013-Tunareje kwa Kishindo.
“Machweo ya muungwana ni kusema asante sana.
Na kimya kingi kina mshindo mkuu.Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd,wamiliki na washapishaji wa gazeti lako ulipendalo la MWANANCHI,tunakushukuru sana msomaji wetu na umma wote kwa ujumla kwa kuwa nasi bega kwa bega katika mapito.Umesimama imara pamoja nasi,ukatutia nguvu sana.

Yale mamilioni ya shilingi utakayoshinda kila siku na magari katika PROMOSHENI YA CHOMOKA NA MWANACHI bado yapo na yataendelea kushindaniwa kama kawaida.
Usikose nakala ya Gazeti la MWANANCHI, kila siku”

MWANANCHI-FIKIRI TOFAUTI

No comments:

Post a Comment