RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA SHEREHE ZA SIKU YA AMANI DUNIANI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 24 September 2013

RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA SHEREHE ZA SIKU YA AMANI DUNIANI

DSC_1196
Mgeni Rasmi Mzee Mwinyi akihutubia wageni waalikwa (Hawapo pichani) wakati wa sherehe za Siku ya Kimataifa ya Amani jijini Dar. Kulia ni balozi wa Rwanda nchini Ben Rugangazi na kushoto kwa mgeni rasmi ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF) Jama Gulaid.
DSC_1126
Meza kuu.
DSC_1130
Baadhi ya wanafunzi wa sekondari mbalimbali za jijini wakitumbuiza kwa nyimbo mbalimbali zenye ujumbe wa kudumisha Amani na upendo duniani.
DSC_1216
Mgeni Rasmi Mzee Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabalozi na wawakilishi wa ofisi za mabalozi waliohudhuria sherehe hizo kwenye ukumbi wa Don Bosco.

No comments:

Post a Comment