MTAMBO MAALUM WA USIMAMIZI WA MASAFA YA MAWASILIANO ZANZIBAR YAZINDULIWA NA BALOZI SEIF ALI IDD - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Sept 2013

MTAMBO MAALUM WA USIMAMIZI WA MASAFA YA MAWASILIANO ZANZIBAR YAZINDULIWA NA BALOZI SEIF ALI IDD


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia wa SMT Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akitoa maelezo kwenye uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi mzima wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA ) mara baara ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali nchini mara baada ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
Watoto wa Skuli ya Maandalizi wa Jang’ombe wakitoa burdani safi ya nyimbo ya Kyaso katika hafla ya uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad