MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YATOA SEMINA KWA WANAHABARI WA ARUSHA LEO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 5 September 2013

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YATOA SEMINA KWA WANAHABARI WA ARUSHA LEO

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Innocent Mungy akitoa mada katika Semina ya siku moja, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi wa ASILI YETU TANZANIA BLOG Bw. Victor Machota akiwa na Gadiola Emanuel mwenyekiti wa Arusha Bloggers Associations na Mkurugenzi wa WAZALENDO 25 BLOG katika Semina ya siku moja iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Mwanahabari toka Radio 5 Fm Bw. David Rwenyagira akisikiliza kwa makini katika Semina ya siku moja, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Kushoto ni Woinde Shizza ,Kiko ,Jane Edward na anaecheka kwa furaha ni Philbert Rweyemamu katika Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.

Wanahabari mbali mbali wakisikiliza kwa umakini Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.

Meneja wa Mawasiliano wa TCRA akipata Zawadi ya Shuka la Kimaasai na Mkanda kutoka kwa Arusha Press Club mara baada ya kutoa mada katika Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Mweka hazina wa Arusha Press Club na Mkurugenzi wa Jamii Blog Bi. Pamela Mollel akitoa zawadi kwa Meneja wa Kanda ya kaskazini Bi. Eng. Annette E. M. Matindi (hayupo pichani) akipokelewa na mwakilishi toka TCRA Bw. Julius Felix katika Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Arusha Press Club Bw. Cloud Gwandu akitoa shukrani kwa niaba ya wanahabari waliohudhuria katika Semina ya siku moja ya wanahabari, iliyodhaminiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikishirikiana na Arusha Press Club(APC) leo 5 Sept. 2013 Olasiti Garden Jijini Arusha.
Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza Semina, kutoka kushoto ni Julius Felix (TCRA) , Seria Tumainiel ( Arusha 255 Blog ), Bw. Innocent Mungy (TCRA) ,Victor Machota (ASILI YETU TANZANIA Blog) ,Gadiola Emanuel (WAZALENDO 25 BLOG) na Woinde Shizza (LIBENEKE LA KASKAZINI). Picha zote na Gadiola Emanuel.

No comments:

Post a Comment