ASILI YETU TANZANIA BLOG YATOA T - SHIRTS BOMBA BURE KWA WASOMAJI WAKE. JISHINDIE YAKO HAPA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 29 August 2013

ASILI YETU TANZANIA BLOG YATOA T - SHIRTS BOMBA BURE KWA WASOMAJI WAKE. JISHINDIE YAKO HAPA.

SHINDANO hili la T Shirts kibao za kutosha kwa wasomaji wetu wanaotembelea blog hii mara kwa mara na kutoa maoni yao yenye kujenga jamii yetu,  linalenga wasomaji wetu wote duniani kote ikiwa ni bonge la ofa isiyopitwa na wakati.

Tumeamua kuwazawadia wasomaji wetu wote wanaokidhi vigezo T shirts bomba zenye nembo kibao zikiwemo za Asili Yetu Tanzania blog bila kujali mahali waliko kote duniani.

Jinsi ya kushiriki katika shindano hili unapaswa kuwa msomaji wa mara kwa mara wa blog hii. Kila unapotoa maoni yako unandika E-mail na jina lako ili kutusaidia kubaini ushiriki wako katika blog yetu na hapo utaweza kujishindia T shirt bomba ya yenye nembo ya Asili Yetu. Anza leo ili ujiongezee nafasi ya kuchukua T shirt yako leo. Shindano hili ni kwawasomaji wetu wote duniani kote.

No comments:

Post a Comment