Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko
wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba
yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa AICC,jijini Arusha kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo Septemba
10 mpaka Septemba 12,2014.Katika hotuba yake hiyo,Mh. Nchemba wameutaka
Mfuko wa PPF kuhakikisha wanapanua wigo kwa kuongeza wanachama wengi kutoka
kwenye setka binafsi hasa wananchi wa kipato cha chini ikiwemo
wajasiriamali.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment