Diamond akizungumza machache kushukuru mashabiki wake na watu mbalimbali waliomsaidia kufikia hapo alipo
Diamond na madansa wake wakitumbuiza katika hafla hiyo
Wasanii mbalimbali pamoja na MaDJ walikuwepo katika hafla hiyo hapa ni Dully Sykes na MawanaFA wakiwa na baadhi ya MaDJ
Maurice
Njowoka kutoka Cocacola wa pili kutoka kushoto na Mwanamuziki AY wa
tatu kutoka kushoto pamoja na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo
Mwigizaji Jaquiline Wolper naye alitia timu
Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka akiwa na mama yake Diamond Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Mzee Gurumo akihojiwa na waandishi wa habari
Hawa
marafiki zangu wakakumbushia miaka kadhaa waliyofunga ndoa kwa
kulishana mishikaki ilipendeza katikati ni Nancy Sumari akishuhudia
Kulia ni Irene Uwoya kushoto Salma Msangi
Kushoto AY na Salama Jabir wakipiga story na wadau mbalimbali
Kutoka kulia ni Raymond Kigosi, Irene Uwoya na JB wakiwa katika hafla hiyo.Picha Na Fullshangwe Blog
No comments:
Post a Comment