Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chifu wa Wahehe , Mtwa Adam Mkwakwa
wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa
Februari 20, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu
Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo,
Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa
II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa Februari
20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chifu huyo, Marehemu Chifu Abdu Adam
Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimariji mjane wa Marehemu Chifu Abdu Adam Mkwawa
pamoja na watoto wakati alipokwenda kuhani msiba huo nyumbani
kwao,Kalenga Iringa Februari 20, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa wilaya ya Kilolo baada
ya kusomewa taarifa ya wilaya hiyo Februari 21, 2015. Kushoto ni Mkuu wa
koa wa Iringa, Amina Masenza.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na walimu wa
sekondari ya Ilula kabla ya kukagua ujenzi wa maabara katika shule hiyo
akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februri 21, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua moja ya madara ambayo yamegeuzwa kuwa
maabara katika Shule ya Sekondari ya Ilula akiwa katika ziara ya mkoa wa
Iringa Februari 21, 2015. Kitendo hicho hakikumfurahisha na aliagiza
kisirudiwe tena sehemu nyingine ngo mapya yajengwe kwa ajili ya maabara.
Mke wa
Waziri Mkiuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Ilulawilayani Kilolo ambako Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
alikagua ujernzi wa maabara na kuhutubia wananchi. Februari 21, 2015.
Mkuu,
Mizengo Pinda akikagua banio katika mradi wa umwagiliaji maji wa kijiji
cha Nyanzwawilayani Kilolo akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa
Februari 21, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Meneja Mipango wa Kamouni ya
Mawasiliano ya simu ya VIETTEL TANZANIA LIMITED tawi la Iringa,
Salvatory Elikidus katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri
Mkiuu, Mizengo Pinda katika kijiji Nyanzwa wilayani Kilolo Februari 21,
20154. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Tawi la Iringa, Tran Nhat
Duy na wapili kushoto ni Mkuu wa Idara ya Fedha, Vo Ngoc Thang.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na watoto baada ya kuhutubia mkutano wa
hadhara katika kijiji cha Nyanzwa wilayani Kilolo akiw akatika ziara ya
mkoa wa Iringa Februari 21, 2015.
Mke wa
Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Mwenmyekiti Msataa wa Umoja
wa Wazazi Tanzania, Abdallah Issa katika kijiji cha Nyanzwa, Kilolo
baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhutubia mkutano wa hadahara katika
jijiji hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februar21, 2015.
(Picha nas Ofiosi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment