SEMINA YA MAAFISA VIJANA YAZINDULIWA NA WAZIRI WA HABARI ,VIJANA ,UTAMADUNI NA MICHEZO DKT. FENELLA MUKANGARA JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Friday, 19 July 2013

demo-image

SEMINA YA MAAFISA VIJANA YAZINDULIWA NA WAZIRI WA HABARI ,VIJANA ,UTAMADUNI NA MICHEZO DKT. FENELLA MUKANGARA JIJINI DAR ES SALAAM


.com/blogger_img_proxy/ Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akizungumza na Maafisa Vijana kutoka mikoa yote hapa nchi wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB,mgeni rasmi katika hafla hiyo alikualikuwa Mheshimiwa Dkt Fenella Mukangara ambaye ndiye Waziri mwenye dhamana ya Vijana..com/blogger_img_proxy/katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (hayupo pichani) wakati wa  ufunguzi wa Semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam.
  .com/blogger_img_proxy/ 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB.
.com/blogger_img_proxy/Mkurugezi wa Maendeleo ya Vijana Profesa Elisante Ole Gabriel akifuatilia kwa makini hotuba ya  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB.
.com/blogger_img_proxy/Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa makini hotuba ya  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB. Picha Zote na Frank Shija – MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *