PICHA MBALI MBALI :MAZISHI YA MWANAHABARI MKONGWE BW. DAVID M. MAJEBELLE ALIYEZIKWA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 19 July 2013

PICHA MBALI MBALI :MAZISHI YA MWANAHABARI MKONGWE BW. DAVID M. MAJEBELLE ALIYEZIKWA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle likiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa ibada.
 Ibada ya kumuimbea marehemu David Majebelle ikiendelea kanisani.
 Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle ukishushwa kaburini.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kushoto), akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu David Michael Majebele, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinodoni jijini Dar es Salaam jana.
Familia ya marehemu David Michael Majebele, wakiweka mashada ya maua katika kaburi, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Majebele ambaye ni mwanahabari mkongwe alifariki Jumapili iliyopita.Picha na Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment