Rais
Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13,
2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka
heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao katika Uwanja wa
Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha
Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la
ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya
askari hao katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitia saini
katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana
na shambulizi la ghafla, wakati Rais na viobgozi wengine walipofika
kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao katika Uwanja
wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini
Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, wakati Makamu na viobgozi
wengine walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari
hao katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo
ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza
maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla,
wakati walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha
Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la
ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya
askari hao katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, akiwafariji wafiwa baada
ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini
Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi
la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao katika
Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP, Regnard Mengi, akiwa na baadhi ya viongozi,
wakitoa heshima za mwisho mbele ya Majeneza yenye miili ya Askari wa
kulinda Amani, wa jeshi la Ulinzi la Tanzania, waliokufa huko Darfur
Julai 13, 2013, wakati wa zoezi la kuagwa miili hiyo lililofanyika kwenye Uwanja wa Wizara ya Ulinzi, Upanga jijini Dar.
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Bilal, na viongozi wengine wakiwa
katika shughuli hiyo ya kuagwa miili ya askari hao kwenye Uwanja wa
Wizara ya Ulinzi Upanga Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, John Nchimbi akiteta jambo na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, wakati wakiwa
katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini
Sudan kutokana na shambulizi la ghafla. Kulia ni Katibu wa CCM,
Abdulrahman Kinana.
Majeneza yenye miili yakiwa eneo la tukio tayari kuagwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa zoezi hilo.
Mkuu wa Majeshi,Jenerali Davis Mwamunyange, akizungumza wakati wa zoezi hilo.
Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.
Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.
Baadhi ya Askari pia wakiwa na nyuso za huzuni.PICHA NA OMR.
No comments:
Post a Comment