Mheshimiwa
Kassim Majaliwa akipokea jezi kwa ajili ya mechi hiyo kati ya Wabunge
na NMB kutoka kwa Nahodha msaidizi wa timu ya NMB, Hezbon Mpate.
Makabidhiano haya ya Jezi zenye thamani ya shilingi milioni tatu na laki
saba yamefanyika katika viwanja vya bunge jijini Dodoma.Kwa mbaali namuona CEO wa Lukaza Blog.
Mheshimiwa Fatma Mikidadi akipokea jezi za mpira wa pete kutoka
kwa nahodha wa timu ya mpira wa pete ya NMB Josephine Kulwa. Mechi zote
zinatarajiwa kuchezwa siku ya jumamosi katika viwanja vya Jamhuri mjini Dodoma.
Waheshimiwa wabunge pamoja na maofisa wa NMB wakizifurahia jezi mara baada ya makabidhiano rasmi.
No comments:
Post a Comment