Mkurugenzi
wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi akijibu baadhi ya
maswali kutoka kwa washiriki wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya
habari na TANAPA unaofanyika kwenye ukumbi wa Siasa na Kilimo mjini
Iringa ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo, Mada mbalimbali
zinawasilishwa, ikiwa ni pamoja na Masuala ya Utalii ndani ya
hifadhi, Miradi ya ujirani mwema na Ulinzi katika mbuga. Waziri
Kivuli wa Wizara ya Maliasili na Mbunge wa jimbo la Iringa mjini
Mchungaji Peter Msigwa ,akitoa mada katika mkutano huo wakati wa
majadiliano kuhusu utalii katika hifadhi za TANAPA. kulia ni Mkurugenzi
wa Tanapa na Kushoto ni Dr. Ayoub Rioba na mstari wa nyuma kulia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James
Lembeli na kushoto ni Meneja uhusiano wa TANAPA Bw. Pascal Shelutete. Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli
akizungumza katika mkutano huo unaoendelea mjini Iringa Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli
akisisitiza jambo wakati akichangia mada katika mkutano huo unaoendelea
leo. Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Ndugu Charles Misango akiuliza swali katika mkutano huo Dr. Ayoub Rioba akiendesha majadiliano katika mkutano huo Mwandishi wa habari Antonio Nugas kutoka Clouds Fm kushoto akiwa pamoja na washiriki wengine katika mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA
TUME YATOA NENO KWA WAANDISHI WASAIDI NA WAENDESHA VIFAA VYA BVR MBEYA
-
*Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa)
Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na
waendesh...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment