MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MSALABA MWEKUNDU HAPA TANZANIA, YAFANYIKA JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 May 2013

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MSALABA MWEKUNDU HAPA TANZANIA, YAFANYIKA JIJINI ARUSHA

Maandamano ya maadhimisho ya miaka 50 hapa Tanzania, katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini, Arusha
Maandamano ya maadhimisho ya miaka 50 hapa Tanzania, katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini, Arusha

Waandishi wa habari walipewa vyeti ,kutoka kushoto ni Beatrice Gerald (mwakilishi wa Clouds fm)  na kulia ni Doreen Aloyce (NYU).

Maandamano ya maadhimisho ya miaka 50 hapa Tanzania, katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini, Arusha
Viongozi mbali mbali wa Msalaba mwekundu ,wakiangalia maandamano ya maadhimisho ya miaka 50 hapa Tanzania, katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini, Arusha.

No comments:

Post a Comment