Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,
akiwa ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete, wakipokelewa nyumbani
kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka
Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki
dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es
Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, na
Mama Salma Kikwete, wakitambulishwa kwa watoto wa Waziri wa zamani,
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM
wa zamani, Marehemu Alfred Tandau nyumbani kwa marehemu Magomeni jijini
Dar es salaam walipofika kuwafariji wafiwa
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa zamani,
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM
wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Mama Salma Kikwete akiweka saini
katika kitabu cha maombolezi nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa
halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa
zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma KLikwete wakiwafariji wafiwa nyumbani kwa Waziri wa zamani,
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM
wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwet
akiwa na watoto wa marehemu Alfred Tandau. Kulia kwake ni Bw. Henry
Tandau na kushoto kwake ni Bw Julius Tandau. Hapo nyumbani kwa marehemu
aliyekuwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)
na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau,
aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa
kansa ya tumbo. PICHA NA IKULU
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment