Meneja wa uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Kiromo sare za shule
zilizotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel mwishoni mwa wiki hii,
akishuhudia makabidhiano hayo (wa pili kushoto) meneja wa huduma
kwa jamii bi Hawa Bayumi akifuatiwa na Mwalimu mkuu wa shule ya
msingi Kiromo Nasib Pangahela, Airtel metoa msaada wa sare za shule
zikiwemo. Kaptura 600 , skirt 600 , mashati 1193 na viatu 728 vyote
vyenye dhamani ya shilingi milioni 50 kwa shule ya msingi Kiromo. Kwa maelezo zaidi bofya hapa >>>
UWAVITA WATAKA DIRA YA 2050 KUENDELEZA TASNIA YA VITABU
-
Mwenyekiti wa Umoja wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA), Anna Mbise,
amesema umoja huo umeshiriki kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Dira ya Taifa ya
Ma...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment