SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA
-
Na Mwandishi wetu.
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi
vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR
y...
30 minutes ago

huyo ndiye mtanzania mzalendo ambaye anahipenda nchi yake kwa kuiwakilisha kwa pendera huyo ndiye mjanja kwa kuipenda nchi yake au hao wajamaa wa mexico walizani hana taifa lake wamnyanyapaeeee kwa kutopandisha bendera ya tanzania.hata mim na shukuru sana alivyogoma kupanda jukwani alipoona hamna bendera ya nchi yake ya kumtambulisha kitaifa,ni hayo tuuuuuuuuu
ReplyDelete