Baadhi
ya
Wamiliki wa magazeti Tando walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika
picha
ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, ashiriki wa shindano
la
Guinness Football Challenge 2013. Kutoka kushoto ni Kassim Mbaruku,
Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John
Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki
a.k.a Father Kidevu.
WAZIRI WA NISHATI MHE. NDEJEMBI AZINDUA RASMI MITA JANJA
-
*Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja
(smart meter) yenye lengo la kuboresha na kumrahisishia mteja kufanya
manun...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment