RIADHA: MWANA MICHEZO ALIEKATAA KUPOKEA TUZO HADI BENDERA YA TANZANIA IWEPO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 14 January 2013

RIADHA: MWANA MICHEZO ALIEKATAA KUPOKEA TUZO HADI BENDERA YA TANZANIA IWEPO

Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog Bw. Gadiola Emanuel akiwa na mwanariadha wa kimataifa toka Arusha, Bw. Phaustin Baha Sulle,aliekataa kupokea tuzo hadi bendera ya Tanzania iwepo. Blog ya Wazalendo 25 ilimtembelea eneo anakofanyia mazoezi ya viungo na kufanya mahojiano nae.
Huyu ni Paul Tergat wa Kenya akifukuziwa na Phaustin Baha Sulle wa Tanzania. hapa ndipo tukio la Phaustin Baha Sulle Kukataa kupewa tuzo hadi bendera ya Tanzania iwepo,ilibidi watafutwe viongozi wa Tanzania ili wakatafute bendera popote ili waiweke ndipo aweze kupanda jukwaani kupokea tuzo ya mshindi wa Pili,huko Mexico City.

1 comment:

  1. huyo ndiye mtanzania mzalendo ambaye anahipenda nchi yake kwa kuiwakilisha kwa pendera huyo ndiye mjanja kwa kuipenda nchi yake au hao wajamaa wa mexico walizani hana taifa lake wamnyanyapaeeee kwa kutopandisha bendera ya tanzania.hata mim na shukuru sana alivyogoma kupanda jukwani alipoona hamna bendera ya nchi yake ya kumtambulisha kitaifa,ni hayo tuuuuuuuuu

    ReplyDelete