CHUO CHA VETA-KIPAWA KULIPA ADA KWA M-PESA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 10 January 2013

CHUO CHA VETA-KIPAWA KULIPA ADA KWA M-PESA


  
Mkuu wa chuo cha VETA kipawa, Jijini Dar es Salaam,  Eng. Lucius Luteganya, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ulipaji ada kwa wanafunzi wa chuo hicho kupitia huduma ya M – Pesa. Kufuatia ushirikiano kati ya chuo hicho na Vodacom Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa ukuzaji biashara – M - PESA Jackson Kiswaga.
: Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa, akimuelezea jambo Mkuu wa Chuo cha Veta Kipawa,  Eng. Lucius Lutenganya wakati wa uzinduzi wa ulipaji ada kupitia huduma ya M – pesa kwa wanafunzi wa chuo hicho. Katikati ni Mkuu wa Ukuzaji Biashara – M -  PESA, Jackson Kiswaga.

No comments:

Post a Comment