Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa,Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo kusini Mwa
Afika SADC Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia) akiwa pamoja
na Rais wa Madagascar Andry Rajoelina (kulia),Rais Wa Namibia
Hifikepunye Pohamba (kushoto) na Rais wa Msumbiji Armando
Guebuza, wakati wa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha
SADC, kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
KAMATI YA BUNGE YAKUTANA KUJADILI SERA YA MAMBO YA NJE
-
*Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)
imekutana kujadili utekelezaji na mwelekeo wa Sera ya Mambo ya Nje ya
Jamhuri ya Muun...
4 minutes ago
No comments:
Post a Comment