Bloggers wa Arusha; kutoka kushoto Gadiola Emanuel (Wazalendo25), Woinde Shizza (Libeneke La Kaskazini) ambae pia ni mmiliki wa LIBENEKE PUB iliyoko maeneo ya Sakina, na Victor Machota (Asili Yetu Tanzania) pamoja na Tumainiel Seria (Arusha255) mwenye jezi ya taifa picha inayofuata; wakibadilishana mawazo katika Pub ya Libeneke jioni ya leo
INEC YATANGAZA
-
*Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Vunja nazi, Omary Mngwali kutoka Wilayani
Mafia mkoani Pwani akimuonesha **Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa ya
Uchaguzi, ...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment