MPIGA PICHA MAARUFU JIJINI AAGWA LEO ARUSHA-ILI AKAZIKWE MARANGU MOSHI -HERMAN MINJA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 12 January 2013

MPIGA PICHA MAARUFU JIJINI AAGWA LEO ARUSHA-ILI AKAZIKWE MARANGU MOSHI -HERMAN MINJA

Mimi CEO wa wazalendo25 blog nikiwa mmoja wa waliouaga mwiliwa  Herman Minja ,ambae alikuwa ni mpiga picha maarufu jijini Arusha,Alifariki ghafla kwa ugonjwa wa Sukari juzi,leo walimuaga nyumbani kwake tayari kuelekea Marangu Moshi.



Charity Githinji alikuwepo katika kuuwaga mwili wa marehemu ili ukazikwe Marangu Moshi

Mjane wa marehemu Herman Minja

Mwili ukiingizwa kwenye gari maalum, tayari kwa safari ya kuelekea Marangu Moshi.


No comments:

Post a Comment