FRANCIS CHEKA AMSHINDA MPINZANI WAKE TOKA MALAWI KWA POINTI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 27 December 2012

FRANCIS CHEKA AMSHINDA MPINZANI WAKE TOKA MALAWI KWA POINTI


Mabondia wote wawili wakiwa tayari kwa pambano lao,kutoka kushoto ni mkufunzi wa Francis Cheka , Francis Cheka mwenye viatu vyekundu,refa wa pambano hilo na bondia Chiotha Chimwemwe taka Malawi na Mkufunzi wake.
Francis Cheka akinyanyuliwa mkono kuashiria ushindi alioshinda kwa pointi kwenye pambano lilikuwa la raundi kumi na mbili, japokuwa Cheka alishinda ila alipata kipingo toka kwa Chimwemwe kikampeleka jeraha kwenye jicho lake la kushoto,ambalo lilisababisha mchezo kusimama kwa muda ili kuruhusu yeye kupata huduma ya kwanza na kuzuia damu kuchuruzika. Na Gadiola Emanuel -Arusha.
Nyimbo za Taifa zikiimbwa kabla ya mpambano kuanza.
N 2 N SOLDIERS Walikuwepo kwenye mpambano huo, utoka kushoto ni Lord Eyez, Fido wa Vatoloko na BouNako Majembe wa Kaskazini.
Shabiki mkubwa toka Moro wa Francis Cheka aliekuwa akizunguka zunguka ulingo kumhimiza Cheka kurusha makonde ya Nguvu.
MAJEMBE WA A - CITY --N 2 N SOLDIERS
Borry B the Pilot (MC na Mtangazaji wa Triple A) akitangaza Mshindi wa pambano hilo.
Anywayz.......!!!ngoja nipige picha japokuwa wanaogopa mwanga wa kamera yangu.

No comments:

Post a Comment