| Mandhari mazuri ya chuo cha TUMAINI (MAKUMIRA KAMPASI )ARUSHA |
| Muda wa chakula sasa ambamo sherehe ilifanyika nyumbani kwao Teddy Mhindi aliehitimu Degree yake ya kwanza pamoja na Collins Peter rafiki yake |
| Karibuni tule jamani...huyu ndie binti (Teresia Mhindi) kushoto aliepata degree yake na mchumba |
| Baba yake Teddy ambae nae alipata Master katika mahafali hayo na mwenzie kutoka kushoto pamoja na wageni waaalikwa. |
| Kula kwa kwenda mbele.... |
| Collins Peter akitoa shukrani zake kwenye sherehe hiyo... |
| KEKI NAYO ILIKUWEPO |
| KATA KEKI TULE....KAT KEKI TULEE...... |
| Hongera Mhitimu mwenzangu eeh.... |
| Baba njoo ule keki jamani....Nakupenda wewe.. |
| Kula mama yangu kipenzi... |
| Kula mchungaji wangu mlezi ..Pastor Anna Apolinary |
| Ahsante kwa zawadi ...Mlezi wangu .... |
| Baada ya dakika chache pata eleweka tu..... |
| Nimesha badili sasa....huu ni muda wa UCHUMBAA.....KAENI KIMYA...!!! |
| MCHUMBA WANGU HUYU HAPA SASA....DEGREE + MCHUMBA ...MAISHA YANAENDELEA MBELE... |
| PETE HIYO.... kutoka kwa mchumba wangu Yona Kivuyo......usipime hiyo....??? |
| Maombi sasa ili hiyo pete ibarikiwe na iwe Ndoa hapo baadae... |
| SHUKRANI TOKA KWA BABA YANGU.... |
| Maombi ya Kufunga..... |
| Mikonozzzzzz KUTOKA KWA......COLLINS PETER |
No comments:
Post a Comment