MATEMBEZI YA HISANI YAFANYIKA ILI KUSAIDIA KUCHANGISHA PESA YA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 18 November 2012

MATEMBEZI YA HISANI YAFANYIKA ILI KUSAIDIA KUCHANGISHA PESA YA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA.



 CHARITY WALK IKAZINDULIWA RASMI NA MGENI RASMI MAMA MARY NAGU

 MHESHIMIWA,NAIBU WAZIRI  shemejiii  ALIKUJA KUTUSUPPORT
MGENI RASMI MAMA MARY NAGU PAMOJA NA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA ROSEMARY LULABUKA  NA MABALOZI 



MATEMBEZI YAKAANZA  RASMI







MENEJA MAWASILIANO WA TEA SYLVIA  LUPEMBEGUNZE ALIENDA SAMBAMBA NA WANAFUNZI KATIKA MATEMBEZI HAYA
TUKAFIKA  MWISHO WA MATEMBEZI KATIKA VIWANJA VYA MICHEZO VYA CHUO KIKUU UD

                                                        

 Mheshimiwa Lazaro Nyalandu ...Shemejii alimuita mkewe ili wakabidhi mchango wao wamilioni 12....hakika inahamasisha
                           naivuta picha ya Mr & Mrs Obama... ;)

BARNABA BOY CLASSIC










huyu ndie CEO WA 8020 FASHIONS BLOG Bi. Shamim Mwasha

No comments:

Post a Comment