CHAMA CHA WASANII WA MUZIKI ARUSHA WAJADILI MCHAKATO WA KATIBA YAO LEO. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 18 November 2012

CHAMA CHA WASANII WA MUZIKI ARUSHA WAJADILI MCHAKATO WA KATIBA YAO LEO.

Mkurugenzi wa ASILI YETU TANZANIA (www.victormachota.blogspot.com), Bw. Victor Mchota akipozi kusikiliza mchakato wa katiba ya Chama cha Wasanii wa Muziki Arusha,Leo 18/11/2012 Jijini Arusha.
Wasanii wa muziki wa Arusha wakijadili mchakato wa katiba ya chama chao,yaani (CHAMA CHA WASNII WA MUZIKI WA ARUSHA) leo 18/11/2012 jijini Arusha, katika viwanja vya Via Via. Mwenyekiti wa kikao hicho ni Nakaaya Summari na Katibu ni Abdul.

No comments:

Post a Comment