BARACK OBAMA ANAWATAKIA SIKU NJEMA YA SHUKRANI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 22 November 2012

demo-image

BARACK OBAMA ANAWATAKIA SIKU NJEMA YA SHUKRANI

obama
Ki - ukweli napenda style ya huyu Raisi wa Dunia(Marekani) Mr. Barack Obama pamoja mke wake Michelle Obama na familia yake. Leo ni siku ya Shukrani Duniani yaani ( Thanks Giving Day) kwa hiyo familia hii na Wazalendo 25 Blog  inakutakia siku njema ya Shukrani.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *