Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishna
Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akionyesha bunduki zilizokutwa kwenye
begi la watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ambapo watatu kati
yao walijeruhiwa kwa risasi na askari wa jeshi la Polisi na kisha
kufariki dunia wakiwa wanapelekwa hospitali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa
Polisi Liberatus Sabas akionyesha kitako cha bunduki aina ya Riffle
iliyokutwa kwenye begi la watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watatu kati yao walijeruhiwa kwa risasi na askari wa jeshi la polisi na
kisha kufariki dunia.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha kamishna Msaidizi wa Polisi
Liberatus Sabas, akionyesha sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
ambazo zilikutwa kwenye begi la watu watano ambao wanasadikiwa kuwa ni
majambazi .Tukio hilo lilitokea katika eneo la Olmatejoo jijini Arusha.Picha na Mahmoud Ahmad-Arusha
No comments:
Post a Comment