MASKANI MAMA YA CCM KISONGE ZANZIBAR YACHOMWA MOTO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 18 October 2012

MASKANI MAMA YA CCM KISONGE ZANZIBAR YACHOMWA MOTO


  Wafanyakazi wa Kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuuzima moto uliokuwa ukiwaka ndani ya Jengo la Maskani ya kisonge lililochomwa moto na watu wanaodaiwa ni wafuasi wa Sheikh Faridi wakisindikiza kuachiwa kwa Sheikh wao huyo ambae wanadhani amekamatwa na Polisi baada ya kutomuana kwa siku Nzima,Jeshi la Polisi limekanusha kumkamata Sheikh huyo na kuwaomba wananchi kushirikiana kumtafuta
  
Jeshi la Polisi lilionekana likifanya Doria katika sehemu hio ilikuweka hali ya Usalama.Picha na Yussuf Simai-Maelezo-Zanzibar

No comments:

Post a Comment