VODACOM FOUNDATION YAENDESHA KAMBI YA MATIBABU MKURANGA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 18 October 2012

VODACOM FOUNDATION YAENDESHA KAMBI YA MATIBABU MKURANGA



  Mkuu wa kitengo cha Vodacom foundation akizungumza na wakina mama wa wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, waliojitokeza kupata matibabu katika kambi maalum iliyoadhiliwa na Chama cha madaktari wanafunzi Tanzania, na kufadhiliwa na Vodacom Foundation.


Mmoja wa wakazi wa wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani akijiandikisha kupata huduma za Afya, katika kambi maalum ya utoaji wa huduma za afya iliyoandaliwa na Chama cha Wanafunzi madaktari na kufadhiliwa  na Vodacom Foundation, Mamia ya wakazi wa wilaya hiyo walitibiwa na kupata ushauri wa afya bure.

No comments:

Post a Comment