KANISA LA NUNUA GARI JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 15 October 2012

KANISA LA NUNUA GARI JIJINI ARUSHA

Hili ndilo gari lililonunuliwa na Kanisa la Jesus Power Miracle Centre (Calvary assemblies of God) Sombetini -Arusha, pesa zilizokusanywa kutoka katika Sadaka na Zaka za kila siku,ili liwepo kanisani kwa matumizi ya kanisa.Gari hilo limekabidhiwa kwa Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Pastor Jeniffer Cormack na Askofu wa makanisa ya Calvary Asemblies of God Tanzania ,Bishop Dustan Haule Maboya .


No comments:

Post a Comment