Dr. Jakaya Kikwete asikitishwa na uharibifu wa makanisa Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 16 October 2012

Dr. Jakaya Kikwete asikitishwa na uharibifu wa makanisa Jijini Dar


Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akishangaa uharibifu wa Makanisa uliofanywa na waumini wa kiislamu,akiongozana na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Said Meck Sadiq, jijini Dar es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akishangaa vitu vilivyoharibiwa na waumini wa kiislamu jijini Dar es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akiongea na wakristo waliokuwepo katika nyumba hiyo ya ibada,mara baada ya kujionea uharibifu wa Makanisa uliofanywa na waumini wa kiislamu jijini Dar es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akionyeshwa Kinanda kilichoharibiwa na waumini wa kiislamu jijini Dar es Salaam.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akionyeshwa gari lililochomwa moto na  waumini wa kiislamu jijini Dar es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akionyeshwa eneo la mimbara ilivyoharibiwa na waumini wa kiislamu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment