Eneo la mzunguko,lina mandhari nzuri sana hasa kupigia picha za aina mbalimbali. |
Nyerere square ni sehemu maarufu watu wanapumzika na kupiga picha za aina Mbalimbali,jijini Dodoma. |
Watu wakipumzika na kutafakari maisha mazuri ya Kitanzania. |
Huu ndio mnara wa sanamu ya Baba wa Taifa la Tanzania , Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliopo jijini Dodoma. |
Viwango na masharti kuzingatiwa upitapo Nyerere Square jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment