Matukio mbalimbali katika safari kuelekea dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 August 2012

Matukio mbalimbali katika safari kuelekea dodoma

Mitaa ya Liverpool-mombo
Mkutano...??usalama..?? zinauzwa..??
Kila sehemu Tanzania kuna tatizo la maji.
Ndani ya mabasi lazima ukute bango hili la usalama wa barabarani,dereva akiendesha kwa kasi unapiga simu hizo kwa haraka.
Maeneo ya kabuku ndipo machungwa mazuri yapatikana.

No comments:

Post a Comment