Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini, Bw. Marcel Escure kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini, Bw. Ali Davutoglu, kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu,. Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini,. Bw. Marcel Escure, Ofisini kwake jijini Dar es salaam .
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment