Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mkoani Kilimanjaro,hapa akisaliamiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa huu.
wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro walijitokeza kumpokea Rais wakiimba na kucheza kwa furaha.
Hapa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili wakicheza kwa furaha na amani
Shughuli hiyo itakayofanyika leo Jumatatu, Machi 5, 2012 asubuhi, imepangwa kwenye Lango la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)
Mbali na kuanzisha kampeni hiyo, Mhe Rais pia atafungua Mkutano wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika kwenye Chuo cha Polisi mjini Moshi.
No comments:
Post a Comment