WATOTO WA BRIGEDIA GWEBE NYIRENDA ALIEPANDISHA MWENGE 1961 WAPANDA MLIMA KILIMANJARO. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 12 December 2011

WATOTO WA BRIGEDIA GWEBE NYIRENDA ALIEPANDISHA MWENGE 1961 WAPANDA MLIMA KILIMANJARO.


watoto wa Brigedia Nyirenda wakiwa wameshikilia koti ambalo baba yao alilivaa siku ambayo anapandisha mwenye wa uhuru.

ujumbe wote ambao ulikuwa unapanda mlima Kilimanjaro na watoto wa Brigedia Gwebe Nyirenda ukiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari wa kwanza kulia ni mtoto wa kiume wa Nyirenda Alex Foti akifuatiwa na rafiki wa baba yake mpendwa Ameen Kashimiri ,wengine ni Rahim Kashimiri,Mobeen Kashimiri,Paul Mason,Aunali Rajabali,Lorley Lavilla,Mohamed Khimji,pamoja na mtoto wa kike wa Nyirenda Tima Gwebe Nyirenda.
 

No comments:

Post a Comment