VODACOM TANZANIA YASAIDIA YATIMA MKOANI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Dec 2011

VODACOM TANZANIA YASAIDIA YATIMA MKOANI ARUSHA

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Vodacom Kanda ya Kaskazini Bw. Jerome Munishi akimkabidhi Mkurugenzi wa kituo cha watoto yatima cha Matonyak Bi. Emmy Ndeumo cha Mjini Arusha zawadi mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha watoto kusherehekea vema siku kuu ya Krismasi. Misaada hiyo iliyojumuisha vykula na vifaa vya shule ilikabidhiwa jana ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Vodacom Share and Care.
 kazi wa Vodacom kanda ya kaskazini Rehema Ndunguru akigawa viburudisho watoto wa  kituo cha Matonyak cha mjini Arusha ikiwa ni sehemu zawadi mbalimbali za krismas zilizotolewa kituoni hapo kupitia  kampeni ya Vodacom Share & Care inayoendeshwa kila ifikapo Disemba. Vodacom imekabidhi misaada mbalimbali kwa vituo sita vya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu vya mjini Arusha jana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad