TTCL YAGAWA MISADA MBALIMBALI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 31 December 2011

TTCL YAGAWA MISADA MBALIMBALI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Bw. Said Amir Said (katikati) na Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw. Amin Mbaga (kulia) wakimkabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Mratibu wa Maafa Manispaa ya Ilala Bw. Mwasabite Elioth kwa ajili ya watu waliokubwa na mafuriko.(picha na TTCL)
Baadhi ya Maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania TTCL wakiwa katika piocha ya pamoja na watoto yatima baada ya kuwapa vyakula mbalimbali kwa msimu huu wa sikukuuu.(picha na TTCL)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Bw. Said Amir Said (katikati) na Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw. Amin Mbaga (kulia) wakimkabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Mratibu wa Maafa Manispaa ya Ilala Bw. Mwasabite Elioth kwa ajili ya watu waliokubwa na mafuriko.(picha na TTCL)

No comments:

Post a Comment