MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAKURUGENZI WA TPDC NA TIC - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Nov 2011

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAKURUGENZI WA TPDC NA TIC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mafuta nchini (TPDC), Yona Killagane, wakati walipokutana kwa mazungumzo Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 2, 2011. Kushoto ni Mkurugenzi Masoko na Uwekezaji wa Shirika hilo, Dismas Fuko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati walipofika ofisini kwake jijini Ikulu Dar es Salaam leo Nevemba 2, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Nyaraka za kujisomea kuhusu Uwekezaji kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Raymond Gondwe, wakati alipofika yeye na ujumbe wake kumtembelea Makamu wa Rais kwa mazungumzo ofisini kwa Makamu, Ikulu Dar es Salaam leo Novemba 2, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad