Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco)
Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa
kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma.
RUVUMA:JESHI LA POLISI WAMTIA MBARONI WIZI WA VIFAA NDANI YA MAGARINI HALFA
MINJA MKAZI WA SANAWALI JIJI LA ARUSHA
-
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi Mwandamizi
Marco Chilya,akionyesha baadhi ya kompyuta Mpakato(Laptop)zilizokamatwa na
Polisi k...
59 minutes ago
No comments:
Post a Comment