Tuzo :Afisa Mtendaji Mkuu DAWASCO aibuka mfanyakazi bora wa mwaka Kitaifa - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


5 May 2016

Tuzo :Afisa Mtendaji Mkuu DAWASCO aibuka mfanyakazi bora wa mwaka Kitaifa


Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa  kitaifa mkoani Dodoma.

Post Top Ad