Matukio : Viongozi wa Tanzania na Kenya Waweka Saini Makubaliano ya Kukomesha Biashara Haramu ya Mazao ya Misitu Leo, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Mar 2015

Matukio : Viongozi wa Tanzania na Kenya Waweka Saini Makubaliano ya Kukomesha Biashara Haramu ya Mazao ya Misitu Leo, Jijini Arusha

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira na Maliasili  nchini Kenya Richard Lusiambe (wakwanza kulia) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife
Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .
Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya  kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha leo  na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo
pamoja na shirika la TRAFFIC .Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad