SAY NO TO ABORTION :MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI AZINDUA CAMPAIGN YA 'SAY NO TO ABORTION - CHAGUA MAISHA JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Aug 2014

SAY NO TO ABORTION :MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI AZINDUA CAMPAIGN YA 'SAY NO TO ABORTION - CHAGUA MAISHA JIJINI DAR


Say no to abortion ni kampeni iliyojidhatiti katika kuelimisha vijana wadogo kuhusiana na hasara za utoaji mimba, mahusiano ya mapenzi mashuleni katika umri mdogo na elimu ya uzazi.'Utoaji mimba usio katika hali salama, mazingira mazuri na vitendea kazi viivyodhibitishwa hufanyika kila siku katika jamii zetu ingawa serekali na sheria ya nchi yetu hairuhusiwi. Tunapoteza nguvu kazi, vijana wa taifa letu' alisema Mkurugenzi wa kampeni hiyo, ndugu Veronica Lugenzi ambayo imezinduliwa rasmi 22 august 2014 shuleni Aureke secondary na kaimu mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni Dkt. Guninita Kamba

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad