Say no to abortion ni kampeni iliyojidhatiti katika kuelimisha vijana
wadogo kuhusiana na hasara za utoaji mimba, mahusiano ya mapenzi mashuleni
katika umri mdogo na elimu ya uzazi.'Utoaji mimba usio katika hali salama, mazingira mazuri na vitendea kazi
viivyodhibitishwa hufanyika kila siku katika jamii zetu ingawa serekali na
sheria ya nchi yetu hairuhusiwi. Tunapoteza nguvu kazi, vijana wa taifa letu' alisema Mkurugenzi wa kampeni
hiyo, ndugu Veronica Lugenzi ambayo imezinduliwa rasmi 22 august 2014
shuleni Aureke secondary na kaimu mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni Dkt. Guninita Kamba
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
No comments:
Post a Comment